Msaada - kesi ya madai

God knows

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
276
Reaction score
173
Habari wadau,

Naombani msaada katika hili.

Kama nilimkopesha mtu hela by word of mouth bila kuandikishana popote na sasa ananizungusha kulipa, je naweza kumfungulia kesi ya madai?

Nilifanya bank transfer ila hatuna mkataba wala mashahidi. Ilikuwa ni kati yetu wawili tu.
 
YES UNAWEZA
THOUGH; Oral contracts ni ngumu ku-prove unaweza jenga mazingira ya kuonyesha ame-acknowledge kwamba una mdai then ukatumia kama ushahidi mfano mwandikie DEMAND LETTER, akiijibu unaeza itumia kama ushahidi kwamba Ali- acknowledge kuwa una mdai n vitu kama bank statements zinazoonyesha kuwa ela iliingia kwenye account yake, au ukafanya correspondences kwa njia ya email au letters kuhusu ela yako akiwa anajibu utavitumia pia kama ushahdi mahakamani. Since kwenye madai ushahidi ni on BALANCE OF PROBABILITY ukijenga vizuri kesi yako utashinda mashahidi si kila mara wanasaidia kushinda kesi since ww prime witness upo utatoa ushahidi wako mwenyewe.

NB: IWE TU HAUJAMKOPESHA KWA RIBA
 
Mdaiwa hafungwi Mkuu. vumilia tu akulipe taratibu
 
Mdaiwa hafungwi Mkuu. vumilia tu akulipe taratibu
Una uhakika na hilo?au ndio kulishana matango poli ya ma bush lawyers!!muulize babu tale yupo nje kwa huruma ya jamaa tu.
 
Anngemkopesha kwa riba ingekuweje?
 
Mtengeneze ushahidi. Km vile kumwandikia meseji za kumdai. Mpigie cm na umrekod. Mdai kwa kumwitia MTU amulize kwanini hakulipi deni lako. Huu ni ushahidi tosha
 
Good.
Hiyo n.b yako there is exception to the general rule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…