Msaada Khs Sheria

Msaada Khs Sheria

The Pen

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Posts
755
Reaction score
261
Wadau,

Hivi ni kweli kuwa kuna sheria mpya inayomtaka mpangaji kulipa kodi ktk kipindi cha notice -- yaani kipindi ambacho anatakiwa kuhama baada ya kupewa notice?
 
Mkuu Notice is the legal concept in which a party is made aware of a legal process affecting their rights, obligations or duties. There are several types of notice: public notice (or legal notice), actual notice, constructive notice, and implied notice. Sasa hapa itabidi ufafanue unazungumzia notice gani kati ya hizo zilizoainishwa hapo juu
 
Asante sana, Mkuu! Lkn, kwa kuwa mimi si mwanasheria, siwezi kuzijua aina hizo ulizozitaja. Labda unisaidie kuzifafanua.
 
Wadau,

Hivi ni kweli kuwa kuna sheria mpya inayomtaka mpangaji kulipa kodi ktk kipindi cha notice -- yaani kipindi ambacho anatakiwa kuhama baada ya kupewa notice?

Amepewa notice ipi? Eviction notice ikiwa na maana kuwa anafukuzwa kwenye nyumba. Au notice ya kawaida ambapo mwenye nyumba hana tena mpango wa kuendelea kupangisha tena baada ya mkataba kuisha (recovery of possession on expiry or termination of tenancy)?
 
Ni hii, Mkuu:

Amepewa notice ipi? notice ya kawaida ambapo mwenye nyumba hana tena mpango wa kuendelea kupangisha tena baada ya mkataba kuisha (recovery of possession on expiry or termination of tenancy)?
 
Back
Top Bottom