Msaada: kichomi hakisikii dawa

Msaada: kichomi hakisikii dawa

PAMAGE

Senior Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
150
Reaction score
85
Mimi nimekuwa nikisumbuliwa na kichomi takriban wiki ya pili sasa nimetumia pain killers za kutosha ila napata nafuu ya muda mfupi tu tatizo linarud
Ni upande wa kulia chini ya mbavu had karb na mgongoni
Je, nitumie dawa gan labda? Nisaidie ndg yangu Mtanzania mwenzio nateseka
 
Pole sana kwa maumivu, tumia tramadol wakati unasaka tiba ya kutokomeza tatizo, ni painkiller hiyo.
By the way kuandika wosia ni utamaduni mzuri.
 
Asante ndg ila wosia 😵🙂😳
 
Sio dalili nzuri kabisa kwanini huendi hospitali? Epuka ile kauli ya "umechelewa sana"

Nenda hospital utapona. Ila nadhani wazo la wosia usilipuuze
 
mh fungukeni basi kwamba mtu akiwa na kichomi ashike kalam na karatasi?
 
U.T.I hiyo ndugu chukua maji glass moja weka ndimu 2 au 3 kisha kunywa asa hasubuhi kabla hujala kitu chochote....kwenye maji ya kunywa ya kawaida ongeza magadisoda (ile inawekwa kwenye maandazi) ....weka nusu kijiko...kisha nenda hospital
 
Back
Top Bottom