Pole sana kwa maumivu, tumia tramadol wakati unasaka tiba ya kutokomeza tatizo, ni painkiller hiyo.Mimi nimekuwa nikisumbuliwa na kichomi takriban wiki ya pili sasa nimetumia pain killers za kutosha ila napata nafuu ya muda mfupi tu tatizo linarud
Ni upande wa kulia chini ya mbavu had karb na mgongoni
Je, nitumie dawa gan labda? Nisaidie ndg yangu Mtanzania mwenzio nateseka
Asante ndg ila wosia π΅ππ³Pole sana kwa maumivu, tumia tramadol wakati unasaka tiba ya kutokomeza tatizo, ni painkiller hiyo.
By the way kuandika wosia ni utamaduni mzuri.
Pia kuna mt kanitsha eti kichomi huwa hakimpt MTU upande wa kulia eti hicho ni kibenguAsante ndg ila wosia π΅ππ³
Usihofu kwamba ukiandika wosia ndio unaondoka, wanaondoka wasioandika wosia kwa hiyo ondoa shaka.Asante ndg ila wosia π΅ππ³
mh fungukeni basi kwamba mtu akiwa na kichomi ashike kalam na karatasi?Sio dalili nzuri kabisa kwanini huendi hospitali? Epuka ile kauli ya "umechelewa sana"
Nenda hospital utapona. Ila nadhani wazo la wosia usilipuuze
mh fungukeni basi kwamba mtu akiwa na kichomi ashike kalam na karatasi?