msaada kichwa chaniuma sana

msaada kichwa chaniuma sana

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
839
mwenye kujua dawa ya kichwa anisaidie tangu asubuh kinaniuma
 
Sawa,endapo wasumbuliwa na kichwa jitahidi kunywa maji mengi mara uamkapo nyakati ya asubuhi, waweza kunywa nusu lita, baada ya kunywa maji usile au kunywa kinywaji chochote angalau baada ya nusu saa. Mimi si mtaalam, lakini utaratibu huu unanisaidia kunikinga na maumivu ya kichwa na mafua.
 
Back
Top Bottom