deepsea
JF-Expert Member
- Aug 10, 2013
- 3,287
- 944
Imekuwa kawaida kwangu kichwa kuuma sana hasa baada ya kusafiri na magari mbalimbali hasa kwa muda mrefu mara nyingine hata safari ya masaa mawili tu shida kichwa kitauma sana mpaka nilale nikiamka kesho yake hali inakuwa sawa kabisa naombeni mnisadie kuondokana na tatizo hili ndugu zangu