msaada:Kichwa kuuma sana baada ya kusafiri muda mrefu kwenye magari

deepsea

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2013
Posts
3,287
Reaction score
944
Imekuwa kawaida kwangu kichwa kuuma sana hasa baada ya kusafiri na magari mbalimbali hasa kwa muda mrefu mara nyingine hata safari ya masaa mawili tu shida kichwa kitauma sana mpaka nilale nikiamka kesho yake hali inakuwa sawa kabisa naombeni mnisadie kuondokana na tatizo hili ndugu zangu
 
Jamaani hakuna anayejua hili jambo utatuzi wake msaada tafadhari
 
Mara nyingi watu hupenda kuyashughulisha macho kwa kuangalia mandhari mbalimbali za njiani, hii husababisha misuli ya macho inayoenda kwenye ubongo kwa kufanya kazi ya kutafsiri mandhari hizo ambazo hazijatulia kwa muda mrefu kuichosha sana na kusababisha maumivu hayo ya kichwa
 
dawa ni kunywa maji hapo wala usiangaike .Maji si soda.Hiyo ndio dawa
 
Imekuwa kawaida kwangu kichwa kuuma sana hasa baada ya kusafiri na magari mbalimbali hasa kwa muda mrefu mara nyingine hata safari ya masaa mawili tu shida kichwa kitauma sana mpaka nilale nikiamka kesho yake hali inakuwa sawa kabisa naombeni mnisadie kuondokana na tatizo hili ndugu zangu
Usifanye dharau nenda kamwone daktari mtaalamu wa kichwa atakuchukua vipimo kama Scan na vengine na kukuambia tatizo lako au atakuongoza ukamuone daktari gani.
Kuumwa kichwa hakusabibishwi na tatizo aina moja, mimi inaweza kuwa presha wewe sababu nyengine,usitegemee jibu la kitu muhimu kama hicho hapa utapoteza maisha yako, nakushauri tena kwa tatizo lako hutakiwi kumuona daktari wa kawaida unatakiwa umuone specialist kwa tatizo lako ulivyolielezea.
 
Imekuwa kawaida kwangu kichwa kuuma sana hasa baada ya kusafiri na magari mbalimbali hasa kwa muda mrefu mara nyingine hata safari ya masaa mawili tu shida kichwa kitauma sana mpaka nilale nikiamka kesho yake hali inakuwa sawa kabisa naombeni mnisadie kuondokana na tatizo hili ndugu zangu

Tatizo La Watanzania Wengi Na Hata Mimi ICLUSIVE Ni Kutopenda Kunywa Maji. Maji Ndiyo INJINI Kuu Ya Miili Yetu Period.
 
Mara nyingi watu hupenda kuyashughulisha macho kwa kuangalia mandhari mbalimbali za njiani, hii husababisha misuli ya macho inayoenda kwenye ubongo kwa kufanya kazi ya kutafsiri mandhari hizo ambazo hazijatulia kwa muda mrefu kuichosha sana na kusababisha maumivu hayo ya kichwa

Ndio"bila shaka mkuu kwenye hilo kuna ukweli flan upo nakubaliana nawe!!
 
Tumia ndege pindi unafanya safar ata km haifiki, cku izi kuna helcopter zamafisadi zakukodi
 
Back
Top Bottom