Imekuwa kawaida kwangu kichwa kuuma sana hasa baada ya kusafiri na magari mbalimbali hasa kwa muda mrefu mara nyingine hata safari ya masaa mawili tu shida kichwa kitauma sana mpaka nilale nikiamka kesho yake hali inakuwa sawa kabisa naombeni mnisadie kuondokana na tatizo hili ndugu zangu
Jamaani hakuna anayejua hili jambo utatuzi wake msaada tafadhari
Usifanye dharau nenda kamwone daktari mtaalamu wa kichwa atakuchukua vipimo kama Scan na vengine na kukuambia tatizo lako au atakuongoza ukamuone daktari gani.Imekuwa kawaida kwangu kichwa kuuma sana hasa baada ya kusafiri na magari mbalimbali hasa kwa muda mrefu mara nyingine hata safari ya masaa mawili tu shida kichwa kitauma sana mpaka nilale nikiamka kesho yake hali inakuwa sawa kabisa naombeni mnisadie kuondokana na tatizo hili ndugu zangu
Imekuwa kawaida kwangu kichwa kuuma sana hasa baada ya kusafiri na magari mbalimbali hasa kwa muda mrefu mara nyingine hata safari ya masaa mawili tu shida kichwa kitauma sana mpaka nilale nikiamka kesho yake hali inakuwa sawa kabisa naombeni mnisadie kuondokana na tatizo hili ndugu zangu
Mara nyingi watu hupenda kuyashughulisha macho kwa kuangalia mandhari mbalimbali za njiani, hii husababisha misuli ya macho inayoenda kwenye ubongo kwa kufanya kazi ya kutafsiri mandhari hizo ambazo hazijatulia kwa muda mrefu kuichosha sana na kusababisha maumivu hayo ya kichwa