msaada:kichwa

msaada:kichwa

Kuku wa Kabanga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2009
Posts
807
Reaction score
368
Habari wanajf
Nina Kyoto wa miaka miwili ambaye tangu amezaliwa kichwa chake hakijakaa vizuri(round),nimejaribu kumrekebisha kwa kumlaza upande ambao nataka ukae saws nimeshindwa,naomba ushauri kama Kuna daktari yeyote nimwone au nitumie njia gani ingine.
 
Back
Top Bottom