Wa jf,
mtot wa sister amechaguliwa kujiunga na kidato cha tano shule za serikali, (TANGA SEC) hajapata barua ya mwaliko/maelezo( Instruction letter). Kuna mwenye kujua hizi shule zinaanza masomo lini?
Natanguliza shukran,
Ndechumia!!!!!
hata mimi ninashida hiyo mtoto kachaguliwa kwenda Galanos Tanga hakuna chochote tulichopata mpaka sasa Na ikiwa mpaka aende Tanga akachukue join instruction halafu arudi tena huku kuchukua mahitaji wanayotaka halafu ndo aendde shule mbona ni kazi kubwa.
ombi mwenye namba ya simu ya shule hiyo anisaidiae labda nijalibu kuwasiliana nao !!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.