msaada: kidato cha tano wanaanza masomo lini?

msaada: kidato cha tano wanaanza masomo lini?

Ndechumia

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
1,164
Reaction score
573
Wa jf,
mtot wa sister amechaguliwa kujiunga na kidato cha tano shule za serikali, (TANGA SEC) hajapata barua ya mwaliko/maelezo( Instruction letter). Kuna mwenye kujua hizi shule zinaanza masomo lini?
Natanguliza shukran,
Ndechumia!!!!!
 
washaanza, anatakiwa aende kwenye shule aliyochaguliwa akachukue joining instruction, asisubirie barua
 
Msimtishe, inategemea na shule. Ifakara wanaanza tar. 16
 
hata mimi ninashida hiyo mtoto kachaguliwa kwenda Galanos Tanga hakuna chochote tulichopata mpaka sasa Na ikiwa mpaka aende Tanga akachukue join instruction halafu arudi tena huku kuchukua mahitaji wanayotaka halafu ndo aendde shule mbona ni kazi kubwa.

ombi mwenye namba ya simu ya shule hiyo anisaidiae labda nijalibu kuwasiliana nao !!!!
 
Back
Top Bottom