mwanangu wa miaka mitano ana maswali balaaa na ukimjibu anauliza swali juu ya swali usipomjibu atamwambia kila mtu eti nimemuuliza mama hivi ajui kwani ni vipi wewe unajua yani atahangaika mpaka aujue ukweli, alishaniuliza hilo swali akiwa 3yrs nikamjibu na nilikuwa mjamzito nikamwambia huku tumboni kwamngu kuna mtoto ambaye ni mdogo wako akaniuliza kaingiaje nikamwambia tuliomba sana mungu kanisani mimi na dady mungu ndio akamweka huku tumboni kwangu. mtoto akicheza namuambia njoo umuone mdogo wako anaruka basi anafurahi huyo akaawaambia mpaka teachers wake mama yake anamtoto tumboni, kashehe mtoto alipozaliwa alikuwa anatake apaone hapo waliponichana mtoto akatoka nikawa nampotezea mpaka kasahau, mtoto siku moja akawa analia halafu kuna wageni si akaropoka, "acha kuliaaa tutakurudisha tumboni wewe shauri yako" wageni wote mmhhhhhhhhhhhh