Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni wa kike mda wake umekaribia, mwambie ukweli. Ila kama wa kiume basi mzuge kwanza lakini pia hata wa kike punguza ukali wa maneno, kwa mfano watu wakifunga ndoa Mungu anawabariki kwanza ndo wanapata mtoto, na ili upate mtoto usikaribiane na mtu wa jinsia yako maana utapata ukimwi.Je mtoto wa miaka 10 akikualiza watoto wanatokaga wapi? Utajibu nini??:A S-baby:
halafu kama ni wa kike, ni mda mzuri wa kumtahadharisha na wanaume fataki, kukaa sehemu hatarishi mf. vyumba vya wavulana, kutembea usiku kuwa pia kunaweza kuleta madhara ya magonjwa.Je mtoto wa miaka 10 akikualiza watoto wanatokaga wapi? Utajibu nini??:A S-baby:
mwanangu wa miaka mitano ana maswali balaaa na ukimjibu anauliza swali juu ya swali usipomjibu atamwambia kila mtu eti nimemuuliza mama hivi ajui kwani ni vipi wewe unajua yani atahangaika mpaka aujue ukweli, alishaniuliza hilo swali akiwa 3yrs nikamjibu na nilikuwa mjamzito nikamwambia huku tumboni kwamngu kuna mtoto ambaye ni mdogo wako akaniuliza kaingiaje nikamwambia tuliomba sana mungu kanisani mimi na dady mungu ndio akamweka huku tumboni kwangu. mtoto akicheza namuambia njoo umuone mdogo wako anaruka basi anafurahi huyo akaawaambia mpaka teachers wake mama yake anamtoto tumboni, kashehe mtoto alipozaliwa alikuwa anatake apaone hapo waliponichana mtoto akatoka nikawa nampotezea mpaka kasahau, mtoto siku moja akawa analia halafu kuna wageni si akaropoka, "acha kuliaaa tutakurudisha tumboni wewe shauri yako" wageni wote mmhhhhhhhhhhhh