Msaada kidogo kuhusu hili

Msaada kidogo kuhusu hili

Galacha Maestro

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
1,353
Reaction score
2,229
Gari imepigwa tochi ya 90. Ila gari inayo king'amuzi na ikifikisha speed 85 kinatoa sauti. Polisi wanasema ni kosa tumezidi 80na wametupiga faini. King'amuzi ni kizima hakijawahi kushikwa na speed inasoma sahihi. Latra wanasema hatujazidi 83. Na polisi wanataka kumweka dereva ndani tufungue kesi au tulipe faini. Msaada kidogo
 
Kama fain ipo lipa na uendelee na maisha yako, ukifungua kesi inaweza ikachukua muda na pesa.
 
Ufungue kesi kwa sabab ya 30000/? labda kama una mda wa mchezo mchezo. Kwani hawakuwaonesha picha ya spidi ile tochi huwa haidanganyi.
 
Back
Top Bottom