Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,229
Gari imepigwa tochi ya 90. Ila gari inayo king'amuzi na ikifikisha speed 85 kinatoa sauti. Polisi wanasema ni kosa tumezidi 80na wametupiga faini. King'amuzi ni kizima hakijawahi kushikwa na speed inasoma sahihi. Latra wanasema hatujazidi 83. Na polisi wanataka kumweka dereva ndani tufungue kesi au tulipe faini. Msaada kidogo