DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
huyo shahidi kama alipelekewa samansi akasaini na hakutokea, huwa inatolewa arrest warrant kumkamata kwa kutotii amri ya mahakama/court contempt. kwa swali lako kwamba kesi itaamuliwaje, inategemea; ushahidi wa victim ni necessary kwasababu yeye ndye aliye experience kitu, lakini hakuna jibu la moja kwa moja kama utashinda kesi au la kwasababu kuan option ya section 34B evidence act maelezo yake yanaweza kutolewa mambo yakaendelea, inategemeana na ushahidi mwingine uliokwisha tolewa, unawezashangaa maelezo yake aliyoyatoa polisi yakiungwa na mashahidi wengine, plus conduct zako wewe mwenyewe na namna utakavyojietetea ukatiwa ndani. but 70% ya kesi hizo huhitaji victim aje asipokuja ni ngumu kushinda.Naomba kujuwa Endapo ninakesi Mahakamani ...nimeshtakiwa na Jamuhuri ...lakin ikatokea wakati wa ushahidi ....shaidi Mmoja wapo kashindwa kufika ...mfano Labda ...nina kesi yakumbaka mwanafunzi...lakin mahakamani wakaja maaskari wawil ...lakin uyo mwanafunzi ambaye ndo victim ..akakataa kuja mahakamani kutoa ushahidi kama nilimbaka au laha.
Sasa hapo kesi inaweza kutolewa Maamuzi yapi mahakamani? Naomba wataalamu wa sheria mnijuze.
Na mwanafunzi huyo yupo sio kwamba kasafiri au kafariki yupo hai .
kwaiyo victim asipokuja bado unashahidi unapewa nguvu...au la maana kama victim ndo alienda kituoni kutoa taarifa kuwa Amebakwa ..na imefika wakat mahakamani kashindwa kutokea ...na mahakama kweye maelezo ya Awali PH wameandika victim ndo alikwenda police kutoa taarifa.huyo shahidi kama alipelekewa samansi akasaini na hakutokea, huwa inatolewa arrest warrant kumkamata kwa kutotii amri ya mahakama/court contempt. kwa swali lako kwamba kesi itaamuliwaje, inategemea; ushahidi wa victim ni necessary kwasababu yeye ndye aliye experience kitu, lakini hakuna jibu la moja kwa moja kama utashinda kesi au la kwasababu kuan option ya section 34B evidence act maelezo yake yanaweza kutolewa mambo yakaendelea, inategemeana na ushahidi mwingine uliokwisha tolewa, unawezashangaa maelezo yake aliyoyatoa polisi yakiungwa na mashahidi wengine, plus conduct zako wewe mwenyewe na namna utakavyojietetea ukatiwa ndani. but 70% ya kesi hizo huhitaji victim aje asipokuja ni ngumu kushinda.
Mwanafunzi asimamagi mahakamani kinachosimama ni uniform zke tukwaiyo victim asipokuja bado unashahidi unapewa nguvu...au la maana kama victim ndo alienda kituoni kutoa taarifa kuwa Amebakwa ..na imefika wakat mahakamani kashindwa kutokea ...na mahakama kweye maelezo ya Awali PH wameandika victim ndo alikwenda police kutoa taarifa.
unazingua wewe ..Mimi sijabaka ..isipokuwa kuna mshikaj wangu wanataka kumbambikia kesi sasa uyo student nafsi imemsuta na wazazi wake nafsi imewasuta..maana..hata daktar alisema uyu binti Akubakwa...isipokuwa alishaga tomb******* sasa kuhusu kutom*** siinawezekana akagongwa na watu wengine.Mwanafunzi asimamagi mahakamani kinachosimama ni uniform zke tu
sijui nikuelezeje, alipoenda polisi kureport aliandika maelezo ya ushahidi ambayo yanaweza kutolewa chini ya kifungu cha 34B cha evidence Act kama hatakuja. however, huyo ni necessary witness ambaye labda uwepo ushahidi mwingine mzuri sana unaoweza kuungwa mkono na maelezo hayo. si ukute na wewe ulipokamatwa ulikiri maelezo yako yakawa ndani ya muda na yapo vizuri kisheria maelezo yako ya ukiri yakitolewa yakalandana na yale ya victim, unategemea nini hapo kama sio kwenda lupango?plus conduts yako before and after, mashaidi wengine pengine ulikamatwa kwenye tukio, au kuna baadhi ya vielelezo umekutwa navyo etc kila kesi ina facts zake...siwezi kupigia mstari moja kwa moja lakini hapo kuna fifty fifty. uwe tayari kwa lolote.usifikiri kumpoteza au kupatana na victim itasaidia a hundred percent, No.kwaiyo victim asipokuja bado unashahidi unapewa nguvu...au la maana kama victim ndo alienda kituoni kutoa taarifa kuwa Amebakwa ..na imefika wakat mahakamani kashindwa kutokea ...na mahakama kweye maelezo ya Awali PH wameandika victim ndo alikwenda police kutoa taarifa.
sawa Lawyer naona Rafiki yangu anaweza pigwa miaka 30 ...but walivyomkamata police walimfanyia Tocha. and violance mpaka ailiamua kukili ...lakin hakuna shahid aliyethibitisha mahakamani kuwa alimuona anambaka then mtuhumiwa Alikuwa hayupo Katika eneo husika walichofanya walimfata mtuhumiwa mkoa mwingine na pia binti anadai Alibakwa tarh 03/ 12 wakati tiyari jamaa alikuwa gerezani kweny maelezo yake ..then police wamehenda makamani wanadai mtuhumiwa alibaka tarhe 11/05 wakati tareh hiyo police wanayodai alibaka ndo tarh ambayo mtuhimiwa alipewa dhamana kutoka gerezani....yaani hapo kuna corrupt upande wa jamuhuri..naiona .sijui nikuelezeje, alipoenda polisi kureport aliandika maelezo ya ushahidi ambayo yanaweza kutolewa chini ya kifungu cha 34B cha evidence Act kama hatakuja. however, huyo ni necessary witness ambaye labda uwepo ushahidi mwingine mzuri sana unaoweza kuungwa mkono na maelezo hayo. si ukute na wewe ulipokamatwa ulikiri maelezo yako yakawa ndani ya muda na yapo vizuri kisheria maelezo yako ya ukiri yakitolewa yakalandana na yale ya victim, unategemea nini hapo kama sio kwenda lupango?plus conduts yako before and after, mashaidi wengine pengine ulikamatwa kwenye tukio, au kuna baadhi ya vielelezo umekutwa navyo etc kila kesi ina facts zake...siwezi kupigia mstari moja kwa moja lakini hapo kuna fifty fifty. uwe tayari kwa lolote.usifikiri kumpoteza au kupatana na victim itasaidia a hundred percent, No.
Mkuu kuna mtu nilimpa pesa kwa madai kuwa ataniletea bajaj lakini baadae ikawa kama anataka kanitapel ikabidi nimkamate na kwa sasa kesi iko mahakaman, lakin hatukuwa tumeandikishiana,ila mazingira tulipokabidhiana kuna watu waliona.huyo shahidi kama alipelekewa samansi akasaini na hakutokea, huwa inatolewa arrest warrant kumkamata kwa kutotii amri ya mahakama/court contempt. kwa swali lako kwamba kesi itaamuliwaje, inategemea; ushahidi wa victim ni necessary kwasababu yeye ndye aliye experience kitu, lakini hakuna jibu la moja kwa moja kama utashinda kesi au la kwasababu kuan option ya section 34B evidence act maelezo yake yanaweza kutolewa mambo yakaendelea, inategemeana na ushahidi mwingine uliokwisha tolewa, unawezashangaa maelezo yake aliyoyatoa polisi yakiungwa na mashahidi wengine, plus conduct zako wewe mwenyewe na namna utakavyojietetea ukatiwa ndani. but 70% ya kesi hizo huhitaji victim aje asipokuja ni ngumu kushinda.
hiyo ni topic mpya, anzisha thread ya kwako mzee, usimuingilie mwenzio. utajibiwa tu ,usihofu.Mkuu kuna mtu nilimpa pesa kwa madai kuwa ataniletea bajaj lakini baadae ikawa kama anataka kanitapel ikabidi nimkamate na kwa sasa kesi iko mahakaman, lakin hatukuwa tumeandikishiana,ila mazingira tulipokabidhiana kuna watu waliona.
umetuelewa eheee?Wenye sheria zenu nimewaelewa sana
Mrejesho kaka. Kesi iliendaje, hukumu ilitoka?sawa Lawyer naona Rafiki yangu anaweza pigwa miaka 30 ...but walivyomkamata police walimfanyia Tocha. and violance mpaka ailiamua kukili ...lakin hakuna shahid aliyethibitisha mahakamani kuwa alimuona anambaka then mtuhumiwa Alikuwa hayupo Katika eneo husika walichofanya walimfata mtuhumiwa mkoa mwingine na pia binti anadai Alibakwa tarh 03/ 12 wakati tiyari jamaa alikuwa gerezani kweny maelezo yake ..then police wamehenda makamani wanadai mtuhumiwa alibaka tarhe 11/05 wakati tareh hiyo police wanayodai alibaka ndo tarh ambayo mtuhimiwa alipewa dhamana kutoka gerezani....yaani hapo kuna corrupt upande wa jamuhuri..naiona .