DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Naomba kujuwa Endapo ninakesi Mahakamani ...nimeshtakiwa na Jamuhuri ...lakin ikatokea wakati wa ushahidi ....shaidi Mmoja wapo kashindwa kufika ...mfano Labda ...nina kesi yakumbaka mwanafunzi...lakin mahakamani wakaja maaskari wawil ...lakin uyo mwanafunzi ambaye ndo victim ..akakataa kuja mahakamani kutoa ushahidi kama nilimbaka au laha.
Sasa hapo kesi inaweza kutolewa Maamuzi yapi mahakamani? Naomba wataalamu wa sheria mnijuze.
Na mwanafunzi huyo yupo sio kwamba kasafiri au kafariki yupo hai .
Sasa hapo kesi inaweza kutolewa Maamuzi yapi mahakamani? Naomba wataalamu wa sheria mnijuze.
Na mwanafunzi huyo yupo sio kwamba kasafiri au kafariki yupo hai .