Msaada kidogo wa kisheria

Msaada kidogo wa kisheria

Ushauri wangu kwako..

Mdai akulipe hata kidogo kidogo usimpeleke mahakamani.
 
Dunia ya leo hata unapofanya biashara na nduguyo ni bora kuandikiana na wote kuweka signatures zenu ili kuepuka mambo kama haya. Pole sana unaweza kupata pesa yako lakini naona itakuwa ngumu sana. Kila la heri.

Jamani Kuna mtu nilifanya nae biashara ya kuumuuzia gari ndogo akatoa fedha nusu na makubaliano kumaliza iliyobaki baadae, but, MDA umepita zaid ya miezi kadhaa kinyume na makubliano na ameanza viswahili,

Mkataba haujatekelezwa kama ulivyo pangwa
Je sheria inatoje msimamo wa MTU ka huyu!!!!
 
Anakuaona ujue na yeye huko aliko anajipanga na wakili wake..
Madam hujakatwa mikono achana na mambo ya kupelekana mahakamani upendo wa kibinadamu utatoeka japo we unania nzuri ila yeye,ndugu zake na rafiki zake watajua lengo lako ni kumfunga.
Hebu jaribu kumfata direct ongea naye kama rafiki ako akwambie shida ni nini hadi asumbue kulipa icho kiasi kilichobakia!pia fikiria kwa hali aliyonayo sasaivi anaweza kukulipa hilo deni hata ukimpeleka mahakamani?
 
Back
Top Bottom