Msaada kidogo wadau

Msaada kidogo wadau

Joined
Aug 26, 2013
Posts
22
Reaction score
1
Jamani naomba msaada kama inawezekana kubadili cours ukiwa chuoni. Mimi nimechaguliwa Bed psychology udsm. Ila ningependelea kuwa Ba Ed. Nipeni procedure jamani..
 
Chuo kikifunguliwa una week mbili za kuomba kubadilisha koz kwa kuandika barua kwenda kwa dean wa undergraduate... Procdr zote za kuandika tembelea offisin kwake au udsm.ac.tz
 
Jamani naomba msaada kama inawezekana kubadili cours ukiwa chuoni. Mimi nimechaguliwa Bed psychology udsm. Ila ningependelea kuwa Ba Ed. Nipeni procedure jamani..

Kaka me nakushauri jaribu kupitia baadhi ya posti zenye kufanana na mada yako naamini utapata mwanga...lasivo vuta pumzi mpaka waje watatuzi wa hii shida'ako
 
listen mm nimetoka leo tcu wanagawa fomu za kubadilisha facult kwa wanaotaka wapo mwenge unashukia sayans na unafata road ya garden cross moja kwa moja utafika!!!!!!
 
Dah!! Tatizo wengine tuko kijiji labda kama kuna altenative zaidi ya kufika tcu kaka geofrey
 
listen mm nimetoka leo tcu wanagawa fomu za kubadilisha facult kwa wanaotaka wapo mwenge unashukia sayans na unafata road ya garden cross moja kwa moja utafika!!!!!!

Mkuu hizo kozi unazoweza kubadili ni zile zenye slots walizotoa au kozi yoyote?? Ufafanuzi tafadhali
 
Back
Top Bottom