The professional Member Joined Apr 11, 2013 Posts 59 Reaction score 98 Sep 10, 2017 #1 Hivi nawezaje kudelete thread ambayo nimeianzisha kwenye jf? Mfano hii. The Professional
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Sep 11, 2017 #2 The professional said: Hivi nawezaje kudelete thread ambayo nimeianzisha kwenye jf? Mfano hii. The Professional Click to expand... Fungua JF kupitia browser kuna option ya kufuta Jr[emoji769]
The professional said: Hivi nawezaje kudelete thread ambayo nimeianzisha kwenye jf? Mfano hii. The Professional Click to expand... Fungua JF kupitia browser kuna option ya kufuta Jr[emoji769]
3 365 JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 1,377 Reaction score 1,456 Sep 11, 2017 #3 Ndiyo inawezekana..upande wa kulia juu ya kurasa kuna option hiyo ya kufuta
The professional Member Joined Apr 11, 2013 Posts 59 Reaction score 98 Sep 11, 2017 Thread starter #4 365 said: Ndiyo inawezekana..upande wa kulia juu ya kurasa kuna option hiyo ya kufuta Click to expand... siioni hiyo option mkuu
365 said: Ndiyo inawezekana..upande wa kulia juu ya kurasa kuna option hiyo ya kufuta Click to expand... siioni hiyo option mkuu
3 365 JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 1,377 Reaction score 1,456 Sep 11, 2017 #5 The professional said: siioni hiyo option mkuu Click to expand... Select post yako kisha utaona option hizo kwa juu
The professional said: siioni hiyo option mkuu Click to expand... Select post yako kisha utaona option hizo kwa juu
3 365 JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 1,377 Reaction score 1,456 Sep 11, 2017 #7 Hapo kwenye hizo options,unafungua hapo moderate kisha itakuletea delete