MSAADA:Kidonda cha operation kutopona.

gikea

Member
Joined
Jan 27, 2017
Posts
17
Reaction score
12
Nilipata ajali nikavunjika mguu,niliwekewa chuma mguuni ,wakati wa kutolewa nyuzi sehemu ya goti palifumuka pakawa kama kidonda ,nikaambiwa patafunga ,lakini nimeuguza muda sasa karibu mwaka na miezi kadhaa.
Kila nikirudi hospitali napewa dawa za kusafisha na kupaka lakini tatizo bado liko palepale.

Kuna kipindi kinaziba halafu eneo hilohilo panatengeneza uvimbe kama ule wa kuungua unapasuka hali ya ukidonda Inaendelea vile vile.

Naomba ushauri wenu Wakuu kwa kesi kama hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hospitali ngapi umeenda?
kama ni hiyo hiyo moja tu hebu jaribu kwenda na hospital nyingine...
 
mawazo ya kiswahili/kimaskini

umepigwa jujumeni ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…