gikea
Member
- Jan 27, 2017
- 17
- 12
Nilipata ajali nikavunjika mguu,niliwekewa chuma mguuni ,wakati wa kutolewa nyuzi sehemu ya goti palifumuka pakawa kama kidonda ,nikaambiwa patafunga ,lakini nimeuguza muda sasa karibu mwaka na miezi kadhaa.
Kila nikirudi hospitali napewa dawa za kusafisha na kupaka lakini tatizo bado liko palepale.
Kuna kipindi kinaziba halafu eneo hilohilo panatengeneza uvimbe kama ule wa kuungua unapasuka hali ya ukidonda Inaendelea vile vile.
Naomba ushauri wenu Wakuu kwa kesi kama hii.
Sent using Jamii Forums mobile app