Mkamap,
Unaweza vile vile pitia hapa http://www.net130.com/CMS/index.html
NI website ya kichina ila you can find your way in there for the material you look for.
Mkuu ushafanikisha? kwani hapa nina materials ambayo ni current kwa huo 802.
By the way nilitaka kujua unasoma ili ufaulu au kwa ajili ya kupata Knowledge? kwani kama kwa ajili ya CCNA hakuna haja ya kucrack kwa sana,kuna kitabu Sybex.CCNA.Study.Guide.6th.Edition kama ukikipata hiki basi umeshamaliza kwani CCNA ni just basic.
Ila kama ni kwa jili ya kupata minondo basi baada ya hapo unaweza endelea kwani nakumbuka kipindi napiga CCNA(last year) nilitumia hiki kitabu pamoja na tutorial fulani nikapasua kwenda mbele,hi9vi nipo hatua za mwisho kwa ajili ya CCIE-Security,
Kama una Internet nzuri ambayo utaweza kudownload,nina uwezo wa kukutumia faili liwe na ukubwa wowote hata 1GB,so nipe hints tu. Toka Uchinani.....
Bwana kilongwe, swali moja la haraka kama last year ulifanya CCNA na sasa upo hatua za mwisho za CCIE je CCNP uliifanya lini au umeiruka?
ukiwa na CCNA sio lazima ufanye CCNP.Sema wao CISCO wana shauri aghalau ufanye kazi miaka miwili kabla ya kufanya CCIE.
mkuu mkamap check ya private e mail,nimekumwagia midude ujifaidi tu.
I Love Piracy kwani bila piracy hakuna maendeleo.
Je kuna ukweli wowote kwamba CCNP lazima ufanye kwanza CCNA?? soma hapa chini.
CCNP® (Cisco Certified Network Professional) certification indicates advanced knowledge of networks. It is the second stage of the Network Installation and Support track, and it teaches the installation, configuration, and operation of LAN, WAN, and dial access services for medium-to-large networks with multiple protocols. The content emphasizes topics such as security, converged networks, quality of service (QoS), virtual private networks (VPN) and broadband technologies. Learn more about CCNP certification from Cisco Systems®.
Prerequisites
CCNA® certification is a prerequisite for CCNP certification