Msaada Kielimu CCNA Wireless

Msaada Kielimu CCNA Wireless

Mkuu ushafanikisha? kwani hapa nina materials ambayo ni current kwa huo 802.
By the way nilitaka kujua unasoma ili ufaulu au kwa ajili ya kupata Knowledge? kwani kama kwa ajili ya CCNA hakuna haja ya kucrack kwa sana,kuna kitabu Sybex.CCNA.Study.Guide.6th.Edition kama ukikipata hiki basi umeshamaliza kwani CCNA ni just basic.
Ila kama ni kwa jili ya kupata minondo basi baada ya hapo unaweza endelea kwani nakumbuka kipindi napiga CCNA(last year) nilitumia hiki kitabu pamoja na tutorial fulani nikapasua kwenda mbele,hi9vi nipo hatua za mwisho kwa ajili ya CCIE-Security,
Kama una Internet nzuri ambayo utaweza kudownload,nina uwezo wa kukutumia faili liwe na ukubwa wowote hata 1GB,so nipe hints tu. Toka Uchinani.....

Bwana kilongwe, swali moja la haraka kama last year ulifanya CCNA na sasa upo hatua za mwisho za CCIE je CCNP uliifanya lini au umeiruka?
 
Bwana kilongwe, swali moja la haraka kama last year ulifanya CCNA na sasa upo hatua za mwisho za CCIE je CCNP uliifanya lini au umeiruka?

ukiwa na CCNA sio lazima ufanye CCNP.Sema wao CISCO wana shauri aghalau ufanye kazi miaka miwili kabla ya kufanya CCIE.
 
Haha,kimsingi CCIE ni CCNA independent,sio lazima hata kufanya CCNA ili ufanye CCIE,ila kipindi unasoma kuna sylabus ya mitihani yote hiyo kuanzia CCNA na CCNP na CCSP kama unataka kufanya CCIE-Security ila kama unataka kufanya R&S,SP au Storage huna haja ya CCSP.

Cisco wanashauri uwe na working experience ya miaka miwili kabla ya kufanya mtihani wa CCIE-PRACTICAL, so watu wengi huwa kwanza unafanya Written exam then unajikoki kwa practical halafu unamaliza kwakuwa kati ya written na practical unapewa miezi kumi na nane(18).
So watanzania musisite kuzikamua hizi kozi ingawa hadi sasa hakuna center ya CCIE Practical in Africa ila Cisco wapo njiani kujenga kituo kikubwa huko South.
Pia kuna njia ambayo watu wengi wanaotokea nchi zisizo na center za CCIE wanafanya ni kuwa unaweza ukawa unafanya CCNA,then Unafanya CCNP baada ya hapo unamalizia mtihani mmoja tu na practical yake so inakuondolea mzigo ila inacost more kuliko mmoja mmoja.
Naomba kutoa Hoja...
 
kwa kusummarise ni kuwa unaweza kufanya CCIE bila ya kufanya mtihani wa CCNA na CCNP ila lazima usome contents zake kwani kiujumla CCIE yenyewe ni CCNP ambayo imeongezewa mipractical.Ila kama unapenda unaweza pia kufanya CCNP then ukamalizia mtihani wa CCIE ila ni kupoteza Hela kama Unajiamini utaipata CCIE,ila kama hujiamini basi ni heri ukafanya CCNP kwanza.
 
mkuu mkamap check ya private e mail,nimekumwagia midude ujifaidi tu.
I Love Piracy kwani bila piracy hakuna maendeleo.
 
mkuu mkamap check ya private e mail,nimekumwagia midude ujifaidi tu.
I Love Piracy kwani bila piracy hakuna maendeleo.

Hahahaah...!
Piracy, cracking or hacking can be addictive.

.
 
Niaje wakuuu,

Naomba kama kuna mtu anasoft copy/link ya kukipata kitabu kifuatacho:
Switched LANs by John J. Roese [ISBN 0-07-0534L3-6] anisaidie.

Asante.
 
Je kuna ukweli wowote kwamba CCNP lazima ufanye kwanza CCNA?? soma hapa chini.

CCNP® (Cisco Certified Network Professional) certification indicates advanced knowledge of networks. It is the second stage of the Network Installation and Support track, and it teaches the installation, configuration, and operation of LAN, WAN, and dial access services for medium-to-large networks with multiple protocols. The content emphasizes topics such as security, converged networks, quality of service (QoS), virtual private networks (VPN) and broadband technologies. Learn more about CCNP certification from Cisco Systems®.

Prerequisites
CCNA® certification is a prerequisite for CCNP certification
 
That is correct. CCNA is the official prerequisite for CCNP.
Wewe ulidhani?

.
 
Back
Top Bottom