gelevahekejr
Senior Member
- Feb 24, 2014
- 120
- 16
Nimekaribia namimi nasubiri wajuvi watupe kaifa..wadau karibuni
Habari wakuu,
Naomba kuuliza hivi, nitumie kifaa gani kugundua madini chini ya ardhi?
Jamani mi nataka kununua dhahabu naomba kujua kifaa cha kuhakiki dhahabu kinauzwaje? Na je kina uhakika kweli wa utambuzi?Mkuu vipo vingi sana, nimepitia alibaba viko tofauti, hadi vya sh. buku 3 aisee na vingine hadi m.50, mchina noma.