Msaada: Kifaa cha kutambua Madini

Msaada: Kifaa cha kutambua Madini

gelevahekejr

Senior Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
120
Reaction score
16
Habari wakuu,

Naomba kuuliza hivi, nitumie kifaa gani kugundua madini chini ya ardhi?
 
Ingia website ya Alibaba na search for gold detector,wachina wanauza bei nzuri ila make sure una mtu ambae unamuamini China ambae atakusaidia katika hilo jambo.Make sure unanunua yenye range kubwa na depth detection kubwa.

Au wacheki hawa Guangzhou Skyscanner Electronic Equipment Co. Ltd

Nimekutajia hao mana nimeona wana detector yenye uwezo kama nlotaja hapo juu,range and depth detection
 
Habari wakuu,

Naomba kuuliza hivi, nitumie kifaa gani kugundua madini chini ya ardhi?


Gold+Metal+Detection.jpg
 
Nimeshindwa ku upload picha kutoka kwenye simu ngekutumia vifaa uvione.Ila vifaa vipo
 
Mkuu vipo vingi sana, nimepitia alibaba viko tofauti, hadi vya sh. buku 3 aisee na vingine hadi m.50, mchina noma.
 
OKM-EXP 5000.
Hiyo ni noma mkuu.
Ni ground scanner niliiona S.AFRICA kwa jamaa yangu furani anasema aliinunua GERMAN mwaka juzi kwa eu33,000.
Hii inapima mpaka 500mts deep na inakupa picha ya hayo madini uyapimayo.
 
Naona ni hapa Tanzania tu sioni wakitumia sana lakini nchi zingine za Africa wanapiga hela na wengine wametajirika sana.
Top brand ni GPX5000 ni ya UK bei mil 7
 
Back
Top Bottom