Mapolomoko
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 1,751
- 422
Nina rafiki yangu wa kike nyumba yao ilipata shoti ya umeme nayeye akiwa ndani, alimeza moshi mwingi na kupelekea kulazwa ametumia madawa lakini kifua bado kina mbana anadai kinamsumbua sana.
Anaomba msaada wenu.
Anaomba msaada wenu.