Msaada: Kijana anahitaji kazi

Msaada: Kijana anahitaji kazi

User01

New Member
Joined
Mar 22, 2021
Posts
2
Reaction score
0
Habari zenu wanajukwaa, kuna kijana anahitaji kazi katika maduka ya jumla jumla yanayouza kati ya vitu vifuatavyo
1)Vifaa vya umeme
2)Machines mbali mbali.

Anapatikana Dar.

Elimu yake ni kidato cha sita, ana nida na ana leseni ya udereva anaweza kuzungumza English kwa ufasaha na anauzoefu wa biashara kidogo.

Kwa atakaekua na uwezo wa kumfanikishia adhma yake au kumuelekeza wapi anaweza kufanikiwa katika hilo analohitaji amtafute kwa namba za simu 0750323091.
 
Back
Top Bottom