Msaada: Kila nikifanya mapenzi nachanika ukeni

Kuna siku nilijifuta na taulo gumu baada ya kuoga nilipata michubuko wiki nzima maumivu hivyo huwa naogopa kupagusa au kupaka chochote
Usitumie sabuni au kemikali kujusafisha,wengine hutumia dawa ya nywele ya pakti ili kujisafisha na kurudisha uke kwnye ubora wake
 
Umefanya mapenzi na watu wengi tofauti na mara zote umechanika! Dah! Ushauri wangu please go and check HIV status coz your problem exposes you very vulnerable to sexual transmitted infections ,go to gynecologist and seek for advice
NOTE:with your condition, don't do unprotected sexual intercourse with anybody unless all you go for HIV negative test result , jali na uyathamini maisha yako binti, vinginevyo ukiendelea basi you will regrets for the rest of your life
 
Inategemea na huyo ninaefanya nae Ila mara nyingi wanatumia robo saa kumaliza
Mwenyezimungu anakupenda sana. Ndio maana anakupa onyo kali kila unapofanya uzinifu kama ulivyojizowea. Kwanza acha tabia hio. Kama unamuamini Mungu nitakupa tiba.
 
Pole dada fanya hiki nenda hosptal kutana na dr wa ngoz mwelezee hilo tatizo na atakusaidia hata mm nilisha wahi kuwa na mpez wa aina hiyo na alipoenda hosptal akapewa dawa ya kumeza kunywa na kupaka kwenye ngoz na aliambiwa ngoz yake inakosa baadhi ya madini hivyo kupelekea ngoz kuwa lain sana inafika hatua hata ukipiga miayo mdomo unapasuka fanya hicho nilichokwambia pia jitahidi sana kula nyanaya ndiz zilizo iva sana na papai.
 
Pole dada, nafikiri tatizo lako unachanika kwa sababu hufanyi mara kwa mara.
 
Mwenyezimungu anakupenda sana. Ndio maana anakupa onyo kali kila unapofanya uzinifu kama ulivyojizowea. Kwanza acha tabia hio. Kama unamuamini Mungu nitakupa tiba.
Mibas namuamini Mungu ndio nipe tiba Tafadhali
 
Duu aisee pole sana mdogo wang,jikaze tu uende hospital kuliko kutumia dawa bila maelekezo kutoka kwa daktari, ila mmmmh unaonekana mtamuuuu
 
0783450648 no yangu iyo wajina nitafute whats
 
Je umekeketwa? hii inafanya majimaji yakauke mapema. Dawa ni utumie vilainishi.
Kama ujakekeketwa napo utumie vilainishi na ufanye mara kwa mara ili njia ifunguke. Utakapoacha kufanya ndio inazidi kuwa ndogo.
 
Asante kwa ushauri pmike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…