mzee wa ngada
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 693
- 293
Usitumie sabuni au kemikali kujusafisha,wengine hutumia dawa ya nywele ya pakti ili kujisafisha na kurudisha uke kwnye ubora wakeKuna siku nilijifuta na taulo gumu baada ya kuoga nilipata michubuko wiki nzima maumivu hivyo huwa naogopa kupagusa au kupaka chochote