Msaada: Kila nikifanya mapenzi nachanika ukeni

lian rich

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2016
Posts
297
Reaction score
288
Habari zenu wataalamu wa JF

Mimi ni mgeni humu ndani naitwa Lilian nina miaka 25 nimejiunga humu ili niweze pata msaada kutokana na tatizo linalonisumbua sana kwa sasa ambalo ni hili kila ninaposex lazima nichanike ukeni sijawahi furahia kabisa sex na siipendi kwa sababu ya maumivu ninayosikia kila nikishiriki tendo hilo hamu naweza kuwa nayo na maji maji pia ninayo lakini uume ukiingia tu hata Kama ni Mdogo ntasikia maumivu na kuchanika

Nimeshatendwa mara nyingi sana lakini najua hilo ndo chanzo maana sipendi sex kabisa naombeni msaada wenu wa nini nifanye ili tatizo hili liishe maana natamani kupata mume lakini ntampata wapi atakaekubali kutosex mara kwa mara. Samahani kwa ujumbe mrefu Ila nimeelezea ili JF doctors muelewe namna ya kunisaidia.
 
Habari zenu wataalamu wa jf Mimi ni mgeni humu ndani naitwa Lilian nina miaka 25 nimejiunga humu ili niweze pata msaada kutokana na tatizo linalonisumbua sana kwa sasa ambalo ni hili kila ninaposex lazima nichanike ukeni sijawahi furahia kabisa sex na siipendi kwa sababu ya maumivu ninayosikia kila nikishiriki tendo hilo hamu naweza kuwa nayo na maji maji pia ninayo lakini uume ukiingia tu hata Kama ni Mdogo ntasikia maumivu na kuchanika pia nimeshatendwa mara nyingi sana lakini najua hilo ndo chanzo maana sipendi sex kabisa naombeni msaada wenu wa nini nifanye ili tatizo hili liishe maana natamani kupata mume lakini ntampata wapi atakaekubali kutosex mara kwa mara. samahani kwa ujumbe mrefu Ila nimeelezea ili jf doctors muelewe namna ya kunisaidia
Pole Dada,Fanya safe sex. Maandalizi ni muhimu.
 
pole sana mleta uzi.km hata uume mdogo unachanika pamoja nakuwa na maji maji basi kuna haya pengine.moja inawezekana una uchi mdogo sana.tatu hayo maji yawezekana sio mengi na huwa yanawahi kuisha badae panakuwa pakavu.pili nenda kw dr ukachekiwe pengine una maambukizi ktk ngozi laini ndani ya uke imekuwa haina uimara tena

ushauri nenda kw dr kwa matibabu zaidi pia jitahidi kula sana nyanya chungu na ndizi za aina zote inasaidia sana kuongeza maji maji kwenye uke.
 
Asante ndugu nitajaribu kwenda hospital Ila naona aibu kumweleza daktari huku ananiangalia ndo mana nikaandika huku ili Kama kuna dawa nitumie mana ngozi ya mwili wangu wote ni laini sana huwa nahisi na huko ni kulaini pia hivyo Kama kuna dawa ya kupafanya pawe pagumu inaweza kunisaidia
 
Kwanza usijali maana hakuna Ujumbe mrefu hapo. Kuna watu wanaandika kurasa na Kurasa humu,unaweza kusoma siku nne.

Pili,jiangalie sana na watu wa huku. Kuna matapeli watakaopenda kukufanyia tu alafu utatupiliwa mbali na mara nyingine kukupiga pesa akini pia kuna wenye nia njema ya kukusaidia.

Tatu,Mimi nakushauri uende hospitalini. Usione aibu kwenye ugonjwa. Wahenga walisema MFICHA MARADHI KIFO HUMUUMBUA.
Tafuta tiba mapema maana umri pia unasepa.

Nne,watafute wanaume wenye vibamia maana papuchi yako haihimili mihemko ya madude makubwa.

Najaribu kuimagine kama kibamia kinakuchana chana je,kipindi unajifungua mtoto kwa njia ya kawaida si utachanika mpaka kunako 0713?
 
Habari zenu wataalamu wa jf

Mimi ni mgeni humu ndani naitwa Lilian nina miaka 25 nimejiunga humu ili niweze pata msaada kutokana na tatizo linalonisumbua sana kwa sasa ambalo ni hili kila ninaposex lazima nichanike ukeni sijawahi furahia kabisa sex na siipendi kwa sababu ya maumivu ninayosikia kila nikishiriki tendo hilo hamu naweza kuwa nayo na maji maji pia ninayo lakini uume ukiingia tu hata Kama ni Mdogo ntasikia maumivu na kuchanika

Nimeshatendwa mara nyingi sana lakini najua hilo ndo chanzo maana sipendi sex kabisa naombeni msaada wenu wa nini nifanye ili tatizo hili liishe maana natamani kupata mume lakini ntampata wapi atakaekubali kutosex mara kwa mara. Samahani kwa ujumbe mrefu Ila nimeelezea ili JF doctors muelewe namna ya kunisaidia.
Subiri uolewe maumivu yatakwisha utapata mmoja mwenye size itakayokubaliana na jinsi ulivyo then utafurahia maisha.
 
Miaka mingi iliyopita niliwahi kuwa na msichana wa aina hii, ila yeye alikuwa na tatizo kuwa mgozi yake ni laini sana kila mahali so na k nayo ni laini sana kiasi kwamba ukimduu lazima atoke vidonda, sijajua alipata matibabu gani.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Pole dada,
Nahitaji kukusaidia
Ila kuna maswali mengi ya kukuuliza,
Kama uko online itakuwa vema.
Dr, by proffessional
 
Asante ndugu nitajaribu kwenda hospital Ila naona aibu kumweleza daktari huku ananiangalia ndo mana nikaandika huku ili Kama kuna dawa nitumie mana ngozi ya mwili wangu wote ni laini sana huwa nahisi na huko ni kulaini pia hivyo Kama kuna dawa ya kupafanya pawe pagumu inaweza kunisaidia
jitahidi umtafute dr wa jinsia yko mweleze kila kitu atajua tatizo nn.

ila km ni nature ya mwili wako kuwa mlaini.basi inaweza kuwa sio tatizo sana.pengine jaribu kubadili namna ya kufanya mpnz kw style tofaut tofaut.pia kuwa mwazi kw mwanaume akuandae sana.na anapoona pakavu achomoe dushe.na asiwe mkamiaji sana wagemu apunguze friction na kuwa makin asiwe kala vitu vya kubust dushe utaumia zaidi

kuhusu kukimbiwavna wanaume lisikuumize kichwa utakuja mpata atakaye kuelewa na kukupenda #RELAX mdada
 
Asante hanitoni
 
Inawezekana hii kitu nami nimewai kuwa na mpenzi wa namna hii ila yeye ukimpeleka very slow basi achubuki, kwaio tulikuwa tunasovu kwa kufanya mapenzi bila fujo wala friction, unapush up slow sana mpk tendo linaisha na inakuwa poa. Jaribu iko kitu
 
Unatumia muda gani kufanya hiyo sex ?
Nusu saa
Au robo saa ?
 
Inawezekana hii kitu nami nimewai kuwa na mpenzi wa namna hii ila yeye ukimpeleka very slow basi achubuki, kwaio tulikuwa tunasovu kwa kufanya mapenzi bila fujo wala friction, unapush up slow sana mpk tendo linaisha na inakuwa poa. Jaribu iko kitu
Asante dumelang
 
Uliwahi kukeketwa?
Kama ndiyo, utakuwa na kovu ambalo ndo linachanika mara unapo-do.
 
Back
Top Bottom