Msaada: Kila nikifanya mapenzi nachanika ukeni

Msaada: Kila nikifanya mapenzi nachanika ukeni

Jamani lily..labda ndo unaanza anza mpenzi Mimi saa zingine nikisoma post humu najiskia aibu lol..pole sana mwanzo mgumu
 
pole sana nenda hosp mwone dr wa jinsi yako.........kuwa makini huku wengine wanaweza kufanya majaribio kwanza
 
Habari zenu wataalamu wa jf

Mimi ni mgeni humu ndani naitwa Lilian nina miaka 25 nimejiunga humu ili niweze pata msaada kutokana na tatizo linalonisumbua sana kwa sasa ambalo ni hili kila ninaposex lazima nichanike ukeni sijawahi furahia kabisa sex na siipendi kwa sababu ya maumivu ninayosikia kila nikishiriki tendo hilo hamu naweza kuwa nayo na maji maji pia ninayo lakini uume ukiingia tu hata Kama ni Mdogo ntasikia maumivu na kuchanika

Nimeshatendwa mara nyingi sana lakini najua hilo ndo chanzo maana sipendi sex kabisa naombeni msaada wenu wa nini nifanye ili tatizo hili liishe maana natamani kupata mume lakini ntampata wapi atakaekubali kutosex mara kwa mara. Samahani kwa ujumbe mrefu Ila nimeelezea ili JF doctors muelewe namna ya kunisaidia.
Samahani kwa swali langu. Je, huwa unafanya sex kila baada ya muda gani?
 
Pole sana Dada, ushauri wangu chukua hatua nenda hospital kwani kuna madoctor wazuri na wenye heshima zao watakusaidia, pia usiogope kutazamwa kwani usipotazamwa Leo utatazamwa Wakati Wa kujifungua tena na MTU ambaye ukumfilkilia.
Mwisho kuwa makini tena sana humu kunamatapeli wengi
Asante inembe
 
jitahidi umtafute dr wa jinsia yko mweleze kila kitu atajua tatizo nn.

ila km ni nature ya mwili wako kuwa mlaini.basi inaweza kuwa sio tatizo sana.pengine jaribu kubadili namna ya kufanya mpnz kw style tofaut tofaut.pia kuwa mwazi kw mwanaume akuandae sana.na anapoona pakavu achomoe dushe.na asiwe mkamiaji sana wagemu apunguze friction na kuwa makin asiwe kala vitu vya kubust dushe utaumia zaidi

kuhusu kukimbiwavna wanaume lisikuumize kichwa utakuja mpata atakaye kuelewa na kukupenda #RELAX mdada
Duh!
Hilo neno mkamiaji limenigusa! Kama ni kukamia haaaaa wengine tuko vizuri kubaka si kubaka yani ni fujo.. Pole zao kumbe kunawengine wanamatatizo ntapunguza gia...!!
 
Asante ndugu nitajaribu kwenda hospital Ila naona aibu kumweleza daktari huku ananiangalia ndo mana nikaandika huku ili Kama kuna dawa nitumie mana ngozi ya mwili wangu wote ni laini sana huwa nahisi na huko ni kulaini pia hivyo Kama kuna dawa ya kupafanya pawe pagumu inaweza kunisaidia
Cha msingi ukienda kwa dokta mueleze tatizo lako huku umempa mgongo au vaa "mask" usoni!!!.
 
Asante ndugu nitajaribu kwenda hospital Ila naona aibu kumweleza daktari huku ananiangalia ndo mana nikaandika huku ili Kama kuna dawa nitumie mana ngozi ya mwili wangu wote ni laini sana huwa nahisi na huko ni kulaini pia hivyo Kama kuna dawa ya kupafanya pawe pagumu inaweza kunisaidia
Nimecheka sana weka picha yako tukuone kwanza.
 
Avoid kutumia sabuni kuosha ndani. Wengi nimeona wakitumia sabuni ati kuosha ndani. Hiyo si taulo utumie mpaka jic.
Pili; Jitahidi kumwelekeza jamaa ili apunguzi speed. Taratibu ndo mwendo. Achezee mlangoni sana ili wewe ndio uuongoze mtarimbo. Na wewe uuongoze taratib kadri unavyojisikia raha.
Hayo yahitaji utulivu. Cha haraka kwako si kitamu. Baada ya mda, hata mpenzi wako atakufurahia sana tu. Usikubali kukimbizwa ka jike na jogoo.
 
Jibu ni Simple!!! Tafuta Yule Aliye na Cock Size Yako (5 to 5.5 inch) utakuwa Comfort, Wengine Machine Zao Kubwa (8 to 12 inch) Ndiyomana Huziwezi Zinakuchana.
 
Asante ndugu nitajaribu kwenda hospital Ila naona aibu kumweleza daktari huku ananiangalia ndo mana nikaandika huku ili Kama kuna dawa nitumie mana ngozi ya mwili wangu wote ni laini sana huwa nahisi na huko ni kulaini pia hivyo Kama kuna dawa ya kupafanya pawe pagumu inaweza kunisaidia
Mficha uchi Hazai..
 
Subiri uolewe maumivu yatakwisha utapata mmoja mwenye size itakayokubaliana na jinsi ulivyo then utafurahia maisha.
Afanye mapenzi kila Siku. Ajitunze aki do kila siku itapotea. Hata wife wangu alikuwa hivyo hivyo. Nilipoanza nae lazima nimtoe damu na kulalamika maumivu wakati wa tendo mpaka ananisukuma. Ila sasa kitu laini hadi raha.
 
Nimeshakutana na hii kesi mara kadhaa na mara nyingine husababishwa na kutokufanya mapenzi mara kwa mara hivyo K inakuwa imesinyaa. Cha msingi ni mwenza wako kuwa taratibu na wewe kutumia staili zitakazoruhusu muingiliano rahisi. Kama mna lubricants ni bora kuzitumia na pia maandalizi yawe vizuri na myape muda wa kutosha. Halafu jamaa awe anaenda mdogo mdogo na wewe ndio uwe unamuongoza kama upo fresh aende fasta. Hata pamoja na hayo michubuko midogo huweza kutokea na kuna dawa ya tube (siijui jina) unaweza kupaka na michubuko kupona haraka. Madaktari wanaijua na ukiitumia na kufanya mapenzi mara kwa mara tatizo litaisha.
Kweli dokta..
 
Back
Top Bottom