MSAADA: Kila wakati najihisi kama mtu mwenye homa

MSAADA: Kila wakati najihisi kama mtu mwenye homa

anganga

Member
Joined
Jun 6, 2014
Posts
96
Reaction score
87
Wajuvi wa masuala ya afya na tiba naomba kuuliza tangu napata kujifahamu hadi sasa ni mtu mzima huwa wakati wote najiskia kama ni mtu ambae ana homa.

Lakini nafanya shughuli zote na wala huwezi jua kama najihisi kuugua ila ninapopata maambukizo ya ugonjwa flani kama malaria au typhod nk. huwa dalili za ugonjwa zinakuwa kubwa zaidi na kunifanya kuhutaji tiba.

Lakini ninapomaliza tiba na hata kupima na kujiridhisha kutokuwa na maambukizi ile hali inaendelea ni kama sehemu ya maisha yangu ingawa bado nahisi nina tatizo lipo halijaisha hii hali inaitwaje au inatokana na nn na kama ina tiba naomba kufahamishwa
 
Wewe na mwenzio aliekufatia hapo chini hamkupaswa kuwa katika hizi siti za mbele

Mnaweza sababisha mtu akafa kwa kupasuka moyo
Mkuu upungufu wa CD4 unweza kusababishwa na TB, ikatibiwa na kupona.
 
Wewe na mwenzio aliekufatia hapo chini hamkupaswa kuwa katika hizi siti za mbele

Mnaweza sababisha mtu akafa kwa kupasuka moyo
Ok! Ila tatizo la Upungufu wa CD4 anaweza mtu kudum nalo kwa muda wa zaidi ya miaka 25 bila kutumia dawa zozote za kuongeza CD4?
 
Unaposema unajihisi kama mtu mwenye homa, una maanisha mwili unakuwa na joto kuzidi lile la kawaida?

Au ni zile dalili za mwili kuchoka,
Misuli kuuma, kuumwa kichwa, kutokulala vizuri, kukosa hamu ya chakula nk?
 
Nakuwa kma vile mtu alietoka kuugua. Yaan vile mtu ajisikiavyo anaporecover!
Kweli mwil nauhc una joto la hma ninapopima huonekana ni normal. Nshawah kupma joto mfululizo wiki nzima lakn lilikua lakawaida. Chakula nakula kma kawaida. Uzito haupungui. Huwa nikitulia huwa naihic kuufeel mzunguko wa dam yaan kama vile dam inavyozunguka naikia.
 
Nimejaribu kukuelewa ila bado sijapata Picha kamili.

Jaribu kupima madini kwenye mwili pamoja na damu kama hujawahi, bila kusahau Vitamini.
Kuna uwezekano unaukosefu wa madini yanayosababisha ujisikie hivyo au uko anaemic na hujalitambua hilo.
 
Back
Top Bottom