GM98 Member Joined Dec 9, 2022 Posts 21 Reaction score 12 Mar 3, 2024 #1 habari wakuu hawa wadudu wanakula sana mizizi ya nyanya zangu mpaka zinakauka, je nitumie nn kuwadhibiti!?
habari wakuu hawa wadudu wanakula sana mizizi ya nyanya zangu mpaka zinakauka, je nitumie nn kuwadhibiti!?
K Kimbori JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 6,112 Reaction score 4,540 Mar 5, 2024 #2 Wadau toeni mwongozo kama akitumia Spidex inaweza okoa jahazi