Msaada kioo cha TV inch 43 Hisense

Nashukuru mkuu kwa ushauri wako
 
Ilikuwa ukutani au mezani?
Hisense ni nyembamba na nyepesi, kama kuna watoto watundu kuigonga ni chap.
Ilikuwa ukutani Nina muda sikuwepo home Kuna mpangaji mwezangu nilimuachia ufunguo kwa ajili ya kuniangalizia usalama ndani kwangu narudi juzi usiku nawasha tv ili badae niangalie mechi ya Simba nakuta kioo kina kleki Kama zote kuwasha ni marangirangi tu uoni kitu
 
Duu, Pole sana, jamaa kazingua achangie gharama.
 
Tv nilinunua 650k kwa Bei za mikoani tetesi nasikia kioo ni 400k nilivyouliza kwa fundi
Kwa estimation hizo za bei,
Nunua TV nyingine tu.
Mimi sipendi kitu changu kiwe na walakini sijui repair...nunua tu ingine achana na kioo
 
Ungekua dar ningenunua tv samsung mpyaaaa nikuletee kwa hiyo laki 4 nipo nje tz baada ya sku 5 nakua dar km una ndugu dsm au makambako ningempa tv yako anipe hela

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 
Khaaa, ukute aliita mashabiki akaibeba wakaangalizie kwake.....
 
Tusidanganyane,TV zote ile frame ni Geresha tu,TV ni kioo na kioo ndio Tv yenyewe,ukivunja kioo umevunja TV.

Ni kama Samsung s series simu inauzwa laki nne kioo laki 3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…