Cute Msangi
Member
- Apr 11, 2023
- 79
- 226
- Thread starter
- #41
Nashukuru mkuu kwa ushauri wakoUshauri wangu ni bora ununue tv mpya,hicho "Kioo" hata ukibadili huwezi kupata ile quality ya picha kama mwanzo ukiachilia mbali gharama za kubadili screen nyingine ambayo kupata og sio rahisi japo watakaotaka kukuuzia watakwambia ni og,
Yangu ni hayo tu,the rest it's up to you.