Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
SamsungKama ni star x check taa zimekufa hizo
Hisense Dodoma wana 550K kwa mafundi Kariakoo 450KUpo Wapi? Tembelea Ofisi Za Hisense Uone Gharama Zake
Hawanunui mzee watakwambia elfu 40 ili watoe power supply na upuuzi mwingine.Muuzie fundi hio Tv kwa 380k
wewe ongezea elfu 70 unapata nch 43 nyingine used
Sawaa mkuuKama utakosa kabisa naomba tuwasiliane
Ninayo kama hiyo njoo nikupe uongeze pambo ndani.Bei ya tv mpya 650k
😃😃Ninayo kama hiyo njoo nikupe uongeze pambo ndani.
Kariakoo wanabadili kwa 450k
Ila kioo utakachowekewa cha kipumbavu sana
43" ndio bei yake hiyo kweli kabisa......tusaidie...Tivii yako uliweka mazingira gani maana kuna jamaa aliining'iniza ukutani ikaporomoka..ikapasukaTv nilinunua 650k kwa Bei za mikoani tetesi nasikia kioo ni 400k nilivyouliza kwa fundi
Ndio ni Bei yake nilinunua Songea 650k 43*43" ndio bei yake hiyo kweli kabisa......tusaidie...Tivii yako uliweka mazingira gani maana kuna jamaa aliining'iniza ukutani ikaporomoka..ikapasuka
Ulinunua kwa Abbas?Niko Songea mkuu tv nilinunua kwenye duka la electronic ata nilivyouliza kuhusu kupata kioo kingine wahafahamu
Kanunue nyingine mkuu, achana na mambo ya viooUkweli ndo huo Kuna zingine ni double screen Ila Bei yake imechangamka
Mafundi sio wa kuwaamini ni wapigaji nahitaji kupata sehem wanauza vioo kabisa ili nijilizishe
Kanunue nyingine tuMimi TV yangu gafra haioneshi kitu inatoa sauti tu sijui ndo kioo kimekufa
TV Ina miaka 10 inakuaje MPYA?shida ya wabongo ni matumizi mabovu ukichagiza na domestic violenceni tv kudumu ni mtiani mimi nina tv ya singsung ina miaka zaidi ya kumi na ni mpya
haijapigwa spanaTV Ina miaka 10 inakuaje MPYA?
Poa. Ila Samsung/Hisense nyingi feki. Mchina kashusha mzigo feki Mazombi yanagongana tuhaijapigwa spana
Nimefikiria gharama za kununua tv nyingine ni Bora nifanye repair hii tv kubadilisha kioo nahitaji msaada upatikanaji wa kioo kingine na gharama Niko nje ya dar es salaam.
TV hisence inch 43.
ok labda. ila yakwangu ni singsung hizo mnazozita mchina fek lakini ina 10+ yearsPoa. Ila Samsung/Hisense nyingi feki. Mchina kashusha mzigo feki Mazombi yanagongana tu
Sio mbaya ibadilishe jina iwe redio tv !Mimi TV yangu gafra haioneshi kitu inatoa sauti tu sijui ndo kioo kimekufa