Msaada kioo cha TV inch 43 Hisense

Msaada kioo cha TV inch 43 Hisense

Hahaha nimekumbuka kisa cha jamaa yangu kuamua kumuachia fundi tv yake alopeleka kwa marekebisho.

Bei ya kifaa ilidhidi bei ya tv dukani aisee. [emoji23][emoji23].

Mie ninayo yangu 65’ nimeamua kubaki nayo kama kumbukumbu tu. Ipo siku itarudi tena hewani.
 
Tv nilinunua 650k kwa Bei za mikoani tetesi nasikia kioo ni 400k nilivyouliza kwa fundi
43" ndio bei yake hiyo kweli kabisa......tusaidie...Tivii yako uliweka mazingira gani maana kuna jamaa aliining'iniza ukutani ikaporomoka..ikapasuka
 
43" ndio bei yake hiyo kweli kabisa......tusaidie...Tivii yako uliweka mazingira gani maana kuna jamaa aliining'iniza ukutani ikaporomoka..ikapasuka
Ndio ni Bei yake nilinunua Songea 650k 43*
Niliweka ukutani nimeikuta Ina kleki Kuna sehemu Kama iligongwa hivi
 
Mafundi sio wa kuwaamini ni wapigaji nahitaji kupata sehem wanauza vioo kabisa ili nijilizishe

Kwahiyo bei tumekujia sisi mafundi na ukatuona mirofa.
Na bado unaendelea kukaza shingo hadi ufike dukani mwenyewe ujilidhishe!

Ok kanunue kioo na uweke mwenyewe hukohuko na usije ofisini kwangu kunisumbua kukuwekea![emoji57]
 
Nimefikiria gharama za kununua tv nyingine ni Bora nifanye repair hii tv kubadilisha kioo nahitaji msaada upatikanaji wa kioo kingine na gharama Niko nje ya dar es salaam.

TV hisence inch 43.

Ungelikuwa Dar es Salaam ningekuelekeza wapi pa kupeleka hiyo TV na kubadilishiwa kioo chake...

Na kama hawana wangekusaidia kuorder toka China...
 
Back
Top Bottom