Msaada kioo cha TV inch 43 Hisense

Hapa heri utafutw tv nyingine...kioo utakachoweka hautapata quality kama ile ya zamani utapoteza pesa na utakwazika
 
Ungelikuwa Dar es Salaam ningekuelekeza wapi pa kupeleka hiyo TV na kubadilishiwa kioo chake...

Na kama hawana wangekusaidia kuorder toka China...
Mi niko dar, tv yangu ni Tcl 40" kioo pia kilipata hitilafu. Nataka kioo kipya
 
Wakuu na TV nchi 43 TCL smart android niliinunua nikawapa wazazi home kutokana na uhitaji wa madogo kutaka kuingia mtandaon ila changamoto wanatumia solar battery zimekuwa hazina uwezo wa kusukuma kwa muda mrefu usiku
Mwenye offer nzuri na push hicho kioo karibun pm location dom
 

Huwezi pata kioo genuine cha Tanzania, na kama Kipo bei yake ni juu sana.

Labsa upate similar ya tv genuine kitolewe humo uuziwe wewe kutoka huko, ila mara chache sana.

Vioo vingine vyote utakavyowekewa ni dublicate za kichina, zina mawingu na hazieleweki, buy a new tv, uza spare.
 
Yes. Kwa Tanzania atakesha. Na akipata tofauti na ya kuuziwa kutoka kwenye tv iliyoharibika atarudi hapa kuomba ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…