Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simu tu smart uliyonunua 1mln ukimwambia 50,000 hawezi nunua.Fundi yupi wa kununua TV mbovu Kwa 380,000?
Mkuu kutegemeana na ubora wa kiooHapa heri utafutw tv nyingine...kioo utakachoweka hautapata quality kama ile ya zamani utapoteza pesa na utakwazika
Mi niko dar, tv yangu ni Tcl 40" kioo pia kilipata hitilafu. Nataka kioo kipyaUngelikuwa Dar es Salaam ningekuelekeza wapi pa kupeleka hiyo TV na kubadilishiwa kioo chake...
Na kama hawana wangekusaidia kuorder toka China...
Samsung jiwe mi ninayo ipo chumbani nchi 24 Ina miaka 11.Ni Samsung dear ina miaka 8
Tv ni kioo kwa bei hiyo hupati mtuMuuzie fundi hio Tv kwa 380k
wewe ongezea elfu 70 unapata nch 43 nyingine used
Habari zenu Wana JamiiForums,
TV yang brand hisence Ina miezi 3 tokea ninunue tatizo ni kioo chake kimevunjika iligongwa na kitu.
Nimefikiria gharama za kununua tv nyingine ni Bora nifanye repair hii tv kubadilisha kioo nahitaji msaada upatikanaji wa kioo kingine na gharama Niko nje ya dar es salaam.
TV hisence inch 43.
Yes. Kwa Tanzania atakesha. Na akipata tofauti na ya kuuziwa kutoka kwenye tv iliyoharibika atarudi hapa kuomba ushauriHuwezi pata kioo genuine cha Tanzania, na kama Kipo bei yake ni juu sana.
Labsa upate similar ya tv genuine kitolewe humo uuziwe wewe kutoka huko, ila mara chache sana.
Vioo vingine vyote utakavyowekewa ni dublicate za kichina, zina mawingu na hazieleweki, buy a new tv, uza spare.