Kama ndio hvyo usiwe na waswas maana ingekuwa kufanya na mtu mwenye ukimwi ndio kupata tusingebaki salamaNdio mkuu lkn nimejitahidi kupima lakini sijakutwa na maambukizi
Mara ya mwisho mli date lini?Ndio mkuu lkn nimejitahidi kupima lakini sijakutwa na maambukizi
Assante sana mkuu nakuhaidi kuufanyia kazi ushauri wako. Pia kuhusu suala la kwenye kinywa nlifanyiwa full blood count na kukutwa na maambukizi ya bacteria hivyo nkaandikiwa sindano za Maxef nimemaliza jana maendeleo kidogo mazur pia nimeandikiwa na dawa za kutumia Mungu akijaaria hapo kesho ntaanza doziJaribu kupitia website hii huwenda ikakusaidia mkuu. Over-Masturbation: Symptom and Solution Guide | Herballove.com
Uraibu wa punyeto ni ugonjwa mbaya sana kwa bahati mbaya hauzungumzwi. Tatizo hili linaweza kuwa baya kuliko madawa ya kulivye maana unahitaji tu privacy na mikono yako ili kupiga punyeto. Very unfortunate watu wengi wanavoanza mchezo huu hawajui madhara yake miaka mitano mbele na wala hakuna wa kuwaeleza.
Mkuu! Mi nakusbauri cha kwanza mche muumba wako, acha punyeto, acha zinaa, kula vizuri. Jiwekee target kutopiga punyeto miezi sita japo najua vigumu kwasbabu uraibu wake ni kama wa madawa ya kulevya. Niamini hutapona haraka lkn utapona.
Part 2: Aisee it looks like uliambulizwa fangus baada ya oralsex? Hivi ushafanya vipimo gani baada ya tukio hilo?. Pole sana mkuu, wengi tumeanguka kwa bahati mbaya katika matendo ya kipuuzi, kikubwa ni kujiapiza na kuweka mkakati wa kutoangukia masuala hayo tena. Hata kama ni mkeo nakushauri usijelamba sehemu zake za siri kwasababu wanawake wapo prone kupata ugonjwa wa ukungu (fungus) katika sehemu zao za siri. Hebu fikiri upate maradhi haya ya aibu unakwenda hospitali washindwa hata kueleza kinagaubaga. Usifanye oral sex hata kama ni mkeo, it is risk.
Hiki chama kujita ni ngumu sana muache bwana mdogo afaidiBilionea Asigwa kuna uzi wako flani jinsi ya kuacha punyeto. Tunauomba hapa
Ila mm kama msemaji wa Chaputa ngaz ya JF uongoz umemruhusu member huyu ajitoe chamani kwani Ashakua teja wa chama chetu.
Mkuu maliza hiyo dozi kama ulivoandikiwa. Baada ya hapo mkakati wako uwe ni kuacha kabisa punyeto. Kuacha punyeto ni kazi sana lkn nitakupa mbinu kadhaa zitakusaidia:Assante sana mkuu nakuhaidi kuufanyia kazi ushauri wako. Pia kuhusu suala la kwenye kinywa nlifanyiwa full blood count na kukutwa na maambukizi ya bacteria hivyo nkaandikiwa sindano za Maxef nimemaliza jana maendeleo kidogo mazur pia nimeandikiwa na dawa za kutumia Mungu akijaaria hapo kesho ntaanza dozi
Assante mkuu ubarikiweMkuu maliza hiyo dozi kama ulivoandikiwa. Baada ya hapo mkakati wako uwe ni kuacha kabisa punyeto. Kuacha punyeto ni kazi sana lkn nitakupa mbinu kadhaa zitakusaidia:
1.Weka malengo ya muda maalum. Mfano nataka nikae miezi mitatu bila kujaribu jambo hili
2. Usifungue tovuti au forums ambazo masuala ya ngono yanazungumziwa wala usisome hadithi au stori za kusisimua kingono (say no to erotic literatures)
3. Usiangalie picha zozote za uchi ama video. Hata kama sio za uchi lkn zenye vichupi zinazokusudia kusisimua kingono usiangalie.
4. Epuka kukaa upweke mahala pa siri kama chumbani kwasababu kufanya hivyo hupelekea mawazo ya ngono ambayo yatakufanya upige punyeto
5. Usilale sana baada ya kukucha asubuhi kwasababu mida hiyo ni prone kupiga punyeto kwakuwa wanaume asubuhi huwa tunaamka tukiwa na hamasa ya kutaka kusex
6. Tafuta hobby, na bora ya hobby ni Uchamungu. Acha dhimbi ya uzinzi acha nyeto, subiri ndoa mkuu
7. Anza kula vizuri na kufanya mazoezi maana it is likely utadevelop tatizo la premature ejaculation na weak erection. Utakapoona tatizo hili usistuke wala usiende kwa wazee wa dawa za nguvu za kiume, this problem will heal on its own over time. Time is the greatest healer of all time! Time heals everything. Inaweza kuchukua hata miaka 2 kupona tatizo hili kama utakuwa mvumilivu wa kutofanya ngono wala kupiga punyeto katika kipindi hicho.
8. Be honest to your soul. Kila la kheri bro.
Assante nashukuru sanaChallenge your thoughts...….everytime you want to do it,jiambie wewe ni mzima na huhitaji kufanya hayo….
ukichallenge mawazo yako kwa MUDA MREFU.....gradually utapunguza kufanya unayofanya…….
NA PIA,toa vitu vyote vinavyokufanya urudie kufanya punyeto….kama ni sabuni bafuni itoe,uwe unatumia pale unapohitaji kuoga….😛😛😛