Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu ingekua kwenye movie ya kichina we unge kua hero duuu...ukafanya yte ayo na mtu mwenye ivyo vyote duuuuNdio mkuu ni denda tu lakini hatukushiringi ngono
Assante mkuu Mungu akubarikiMtu wangu i want you to know that " YOU HAVE A REASON TO LIVE" ..ndio Just believe me!! Unasababu ya kuishi nalazima uishi.
Kwann unajaribu kujipa nyakati ngumu za kudhuru pumzi zako ilihali hukuwah kuchangia kuitengeneza hiyo Pumzi ???
SASA mie bana, huwa napenda kutoa maelekezo ....
Umewahi kaa na kuzungumza na Subconscious mind Yako??? Unailisha nini?? Umewah kaa na kufikiria juu ya fikira unazoilisha hii chemba??? ...
Sasa kuna kitu tunakiita " Power of Affirmation " , hii ninguvu yakuuambia Subconscious mind yako, kua unataka uweje na iweje ,chochote kile na kikawa vile unavyotaka.
Watu wanaofanikiwa kutumia hii nguvu, Huwa wanamaisha ya Furaha sana , kama mimi nilivyo , Ninafuraha mnoo kwakua mambo yangu yanaenda vile ambavyo nimeiambia chemba yangu yawe.
Sasa ufanye nin? .. Ongea na ubongo wako.
Kaaa chumban pakiwa kimya , fumba macho, kusanya hisia zako zaidi kisha sema maneno chanya tuuu unayotaka, sema " mimi ni mwenye afyaaaaa tele,, mimi nitaishi maisha marefuuu, mimi sitakua na matatizooo , mimi ni boraaa sanaaaa n.k n.k n.k , sasa nn faida yake??? Kufanya ivo mara kwa mara kuna uzoesha ubongo wako nahatimaye mawazo mbalimbali huja kukuonyesha nin , ufanye ili uwe unavyotaka.
, Ni usiku sana, Nachohimiza , kuhusiana nahizi dalili unazopata, Rudi hospital ,Nenda Hospital ya kueleweka kabisa , Haya mengine yote yalobaki nimepesi sanaa wala hayatokusumbua tena sio punyeto sio nn ...
NitakuPM
ila usiende kwa mauki atakupa matango pori yaliyochanganywa na mabogaAssante ntajitahid kufanya hayo je huwa wanapatikana wapi hawa watu
VVU mara ya mwisho ulipima lini?December 23 2017
Assante mkuu ntafanya hivyoStop and relax.
You are stressing yourself out of paranoia.
Ndio, kuna makosa unafanya na inabidi ujirekebishe.
Cha kwanza you are too young upstairs kuanza mahusiano na mapenzi.
You know why nasema hivi, it seems hujaelewa sex and protection zake na limits zake. Unakurupuka tu kukiss ovyo na oral sex. Hapo ningekushairi go for major tests then kaa tulia kwanza stop mahusiano kabisa jiweke bize na mambo mengine.
Acha kulala home tu. Chakarika mtoto wa kiume anzisha hata kibustani cha mboga mboga.
Hapo kwenye punyeto search threads zilizoko humu na omba ushauri kwa wanaume wenzio waliofanikiwa kuacha.
You are only 26 stop overthinking.
Na majibu ni fresh?Last week Friday