MSAADA KISAIKOLOJIA NINAANGAMIA

MSAADA KISAIKOLOJIA NINAANGAMIA

Mtu wangu i want you to know that " YOU HAVE A REASON TO LIVE" ..ndio Just believe me!! Unasababu ya kuishi nalazima uishi.

Kwann unajaribu kujipa nyakati ngumu za kudhuru pumzi zako ilihali hukuwah kuchangia kuitengeneza hiyo Pumzi ???

SASA mie bana, huwa napenda kutoa maelekezo ....

Umewahi kaa na kuzungumza na Subconscious mind Yako??? Unailisha nini?? Umewah kaa na kufikiria juu ya fikira unazoilisha hii chemba??? ...

Sasa kuna kitu tunakiita " Power of Affirmation " , hii ninguvu yakuuambia Subconscious mind yako, kua unataka uweje na iweje ,chochote kile na kikawa vile unavyotaka.

Watu wanaofanikiwa kutumia hii nguvu, Huwa wanamaisha ya Furaha sana , kama mimi nilivyo , Ninafuraha mnoo kwakua mambo yangu yanaenda vile ambavyo nimeiambia chemba yangu yawe.

Sasa ufanye nin? .. Ongea na ubongo wako.

Kaaa chumban pakiwa kimya , fumba macho, kusanya hisia zako zaidi kisha sema maneno chanya tuuu unayotaka, sema " mimi ni mwenye afyaaaaa tele,, mimi nitaishi maisha marefuuu, mimi sitakua na matatizooo , mimi ni boraaa sanaaaa n.k n.k n.k , sasa nn faida yake??? Kufanya ivo mara kwa mara kuna uzoesha ubongo wako nahatimaye mawazo mbalimbali huja kukuonyesha nin , ufanye ili uwe unavyotaka.

, Ni usiku sana, Nachohimiza , kuhusiana nahizi dalili unazopata, Rudi hospital ,Nenda Hospital ya kueleweka kabisa , Haya mengine yote yalobaki nimepesi sanaa wala hayatokusumbua tena sio punyeto sio nn ...

NitakuPM
 
Assante mkuu Mungu akubariki
 
kuhusu masterbation wewe oa, kuhusu maradhi nenda hospitalini ku google sometime kutakuuwa...kwani gugo ishauwa wengi mno...na wengine ni wafu tarajiwa
 
Kiwango chako ch elimu na uandishi wako haviendani kabisa.
 
Stop and relax.

You are stressing yourself out of paranoia.

Ndio, kuna makosa unafanya na inabidi ujirekebishe.

Cha kwanza you are too young upstairs kuanza mahusiano na mapenzi.

You know why nasema hivi, it seems hujaelewa sex and protection zake na limits zake. Unakurupuka tu kukiss ovyo na oral sex. Hapo ningekushairi go for major tests then kaa tulia kwanza stop mahusiano kabisa jiweke bize na mambo mengine.

Acha kulala home tu. Chakarika mtoto wa kiume anzisha hata kibustani cha mboga mboga.

Hapo kwenye punyeto search threads zilizoko humu na omba ushauri kwa wanaume wenzio waliofanikiwa kuacha.

You are only 26 stop overthinking.
 
Assante mkuu ntafanya hivyo
 
Hudhuria ibada kama dini yako inavyotaka na uwe unajichanganya na watu,hata kama huna la kuongea,kaa nao uwasikilize...
 
Hapo ndiyo ujue madhara ya dhambi jinsi inavyotesa japo mwanzo unapoitenda unasikia raha hata ukiambiwa usifanye unaona unaingiliwa maisha yako

Mshukuru Mungu kwa kukulinda dhidi ya maambukizi na uamue kutulia sasa maana inawezekana ukirudia tena ndiyo ikawa kwa heri

Usijipe stress na majibu ya google ambayo vipimo vimethibitisha hauna na iruhusu akili yako iamini u mzima maana kinachokusumbua ni kuamini majibu ya google na akili yako kuamini hivyo na inaweza kukufanya ukaumwa maana unaamini.

Nakutakia maisha mapya
 
epuka kukaa peke yako muda mrefu maana wanasema Idle mind is the Devil's workshop mwisho wa siku utaishia kupiga punyeto tuu.

pia umesema umemaliza chuo na upo nyumbani tu, je hufikirii kutafuta kitu cha kufanya kujiingizia kipato? japo ni kweli sasa kuna changamoto mno za ajira, ila ukikaa tu ajira hazikufati nyumbani ndugu unatakiwa utoke kuzitafuta.
 
Back
Top Bottom