Swts
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,062
- 1,294
HELOW Jf family..Hi!
-Anaejua jinsi ya kupika kisamvu kama wanachopikaga Wapopo mixing samaki nyama na mengineyo,please msaada.
-Pia anaejua kupika supu ya kipopo ile ya Mbuzi yenye ngozi.
:bored::bored:Naipenda ila wenyewe wachoyo kutoa maujanja.:bored::help: