Msaada kisheria: Halmashauri kugeuza kiwanja cha mtu barabara

Utawala huu siuelewi mana barabara ya king'ongo pia kuna mambo ya x bila taarifa tena viwango wamejiwekea wenyewe
 
Hizi mambo hazijakaa sawa, tunakoelekea siko kabisa
 
siku izi ukipata kiwanja piga wigo tuu watu wakizoea kupitapita wakazoea wanajimilikisha hasa kwa viwanja ambavyo avijapimwa.
 
Back
Top Bottom