Zogoo da khama
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 643
- 619
Hapana haiwezi kupigwa mnada kwani una mpango wa kutokumaliza deni au umefikia wapi?je kwa kuchelewa huko na kiwango kilichobaki nyumba inaweza kuuzwa yaani kupigwa mnada?
NitalipaHapana haiwezi kupigwa mnada kwani una mpango wa kutokumaliza deni au umefikia wapi?
Utalipa au ushalipa?Nitalipa
Basi jisalimishe, nenda uonane nao na kukaa nao mezani uwaelezee uhalisia na mipango yako ya kulipa deni lililobaki.Nitalipa