sometimesyes
JF-Expert Member
- Dec 5, 2017
- 360
- 288
Habarini wakuu
Naomba msaada kisheria a mawazo badala kuhusu mpangaji wangu,mnamo mwaka Jana kuna kijana alipanga Chumba nyumbani kwangu,mm sikuwepo wakati huo(nilikua mkoa mwingine kikazi)hivyo mke wangu aliniwakilisha lkn alifanya uzembe wa kutomsainisha mkataba yule mpangaji,japo aliwela records pembeni kuwa mkataba wake unaisha may 10 mwaka huu.
Tatizo lililojitokeza ni kwamba tangu January mhusika hajalipa umeme wala maji na tulimvumilia kuwa atalipa kwa sababu alikua analia hali ngumu,na tukawa tumeamua tusirenew mkataba nae tn,lkn cha kushangaza Leo wkt mke wangu hayupo amejidai kuaga kuwa anasafiri,namba zetu anazo lkn ameaga wapangaji wenzie na mkataba unaisha may 10,naomba ushauri wa hatua za kuchukua na hakuna mkataba.