Sagungu 1914
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 938
- 581
Naomba kujuzwa maana ya shauri la kesi kuondolewa mahakamani,na je kesi inaweza kufunguliwa ten au ndio imeishia hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shauri kuondolewa mahakamani inamaanisha kuwa mlalamikaji na mlalamikiwa wameomba kumalizana nje ya mahakama. Kwakifupi ni kuwa shauri linaondolewa Lakini mkishindwana ngoma inarudi ila kwakufuata process Fulani Fulani.Naomba kujuzwa maana ya shauri la kesi kuondolewa mahakamani,na je kesi inaweza kufunguliwa ten au ndio imeishia hapo?
Anayeomba shauri kuondolewa ni nani?Shauri kuondolewa mahakamani inamaanisha kuwa mlalamikaji na mlalamikiwa wameomba kumalizana nje ya mahakama. Kwakifupi ni kuwa shauri linaondolewa Lakini mkishindwana ngoma inarudi ila kwakufuata process Fulani Fulani.
Yeyote anaweza kuomba lakini Kwa makubaliano maalum nje ya mahakama. Mara nyingi mlalamikaji ndio huomba baada ya kuomba na mlalamikiwa.Anayeomba shauri kuondolewa ni nani?
Iko hivi Kuna jamaa namlalamikia kukatalia kwenye kiwanja changu,Sasa katika mipaka ya kiwanja sikuweka majirani nilicho weka ni ukubwa wa eneo na plot namba pamoja na eneo mgogoro ulipo.Shauri kuondolewa mahakamani inamaanisha kuwa mlalamikaji na mlalamikiwa wameomba kumalizana nje ya mahakama. Kwakifupi ni kuwa shauri linaondolewa Lakini mkishindwana ngoma inarudi ila kwakufuata process Fulani Fulani.
Kwa mazingira hayo ni kuwa mashitaka yamekosa mashiko yaani ushahidi usio tia shaka. Sasa hata Kama ingekua mbinguni lazima ushahidi uwepo mfano nyaraka kutoka serikali au waliopima na kutoa hati ya kiwanja.Ha
Iko hivi Kuna jamaa namlalamikia kukatalia kwenye kiwanja changu,Sasa katika mipaka ya kiwanja sikuweka majirani nilicho weka ni ukubwa wa eneo na plot namba pamoja na eneo mgogoro ulipo,Sasa hakimu kasema ameliondoa shauri mahakamani Kwa sababu sijaonesha kiwanja kinapakana na hakina nani(majirani).
Sasa hiyo process flani ndiyo mziki kuipata!!!Shauri kuondolewa mahakamani inamaanisha kuwa mlalamikaji na mlalamikiwa wameomba kumalizana nje ya mahakama. Kwakifupi ni kuwa shauri linaondolewa Lakini mkishindwana ngoma inarudi ila kwakufuata process Fulani Fulani.