Mm nachotaka tu tumsave huko aliko akiyoka atajuana na mke wake. Nimewashauri tutoe nje lakini sujui procces za kulitoa kitoka kwenye vuombo vya dola kuja nje mkuu nisaidieKama hali ya mgoni wenu sio mbaya sana, muyaongee myamalize nje ya mahakama,nyinyi mumsamehe mgoni wenu, na yeye asamehe majeraha aliyopewa...then ndugu yako apige chini jiko lake kwani muonja asali huwa haonji mara moja...
Hapa kitu muhimu ni afya ya huyu mgoni,kama anaendelea poa, mfuate muyaongee kiume...kumbuka wino wa polisi ushatumika kuandikia jarada na mtuhumiwa...kuufuta wino huo inatakiwa pesa....Mm nachotaka tu tumsave huko aliko akiyoka atajuana na mke wake. Nimewashauri tutoe nje lakini sujui procces za kulitoa kitoka kwenye vuombo vya dola kuja nje mkuu nisaidie
Sawa bossMkuu, jinai ni jinai tu. Hapo, kadiri ulivyohadithia, ndugu yenu ameshatenda jinai. Anasubiriwa aliyejeruhiwa apone au la ili kujua kosa atakaloshtakiwa nalo. Linaweza kuwa kujeruhi au kuua kwa kukusudia/kuua bila kukusudia. Mnapaswa kwasasa kufanya maombi ili aliyejeruhiwa asifariki. Kiujumla,kumsaidia ni kumtafutia Wakili sasa na kuendelea.
kisheria kosa kama hili faini /hukumu yake ni ipi mkuuMkuu, jinai ni jinai tu. Hapo, kadiri ulivyohadithia, ndugu yenu ameshatenda jinai. Anasubiriwa aliyejeruhiwa apone au la ili kujua kosa atakaloshtakiwa nalo. Linaweza kuwa kujeruhi au kuua kwa kukusudia/kuua bila kukusudia. Mnapaswa kwasasa kufanya maombi ili aliyejeruhiwa asifariki. Kiujumla,kumsaidia ni kumtafutia Wakili sasa na kuendelea.
Lipi hapo mkuu?kisheria kosa kama hili faini /hukumu yake ni ipi mkuu
Alipewa taarifa na kuemwafata mahali waliompo na kumshambulia mkuuCha kwanza aliepgwa awe tyAr kumsahe natumaini atafanya hivyo na waende kumaliza kituoni then jamaa afanye kuachana na. Huyo mwanamke
Maswali yangu ya zaida katk mazingira
>alimkata mapanga mara ngapi
>alifika eneo la tukio akarudi fata panga
>alimfumania nyumban kwake au
>alipewa taarfa na mtu au ilikuwa suprise
Ni jibu hayoo..
La mpigajiLipi hapo mkuu?
mkuu kufuta kesi police ni buree isipokuwa rushwa imetamalaki kama ilivyo dhamana bure lakini lazima utoe pesaHapa kitu muhimu ni afya ya huyu mgoni,kama anaendelea poa, mfuate muyaongee kiume...kumbuka wino wa polisi ushatumika kuandikia jarada na mtuhumiwa...kuufuta wino huo inatakiwa pesa....
Kuua kwa kukusudia adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa. Kuua bila kukusudia adhabu yake ni mwaka mmoja hadi maisha jela. Shambulio la kudhuru mwili ni jela siku moja hadi miaka kumi na tano.La mpigaji
anhaa sawa mkuu nimeelewaKuua kwa kukusudia adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa. Kuua bila kukusudia adhabu yake ni mwaka mmoja hadi maisha jela. Shambulio la kudhuru mwili ni jela siku moja hadi miaka kumi na tano.