mkuu kufuta kesi police ni buree isipokuwa rushwa imetamalaki kama ilivyo dhamana bure lakini lazima utoe pesa
tambua kuwa MAHAKAMA haipendi mshtakiwa afungwe ndo mana kesi uharishwa mara nyingi sana mpk upatikane ushaidi wa kuridhisha pande zote mbili
vivo hivyo police pia hupenda baadhi ya kesi ziishie police bila kufika mahakamani ikiwa mlalamikaji kalidhia jalada lifungwe
na ndo maana kuna kipengele flani polisi katika baadhi ya kesi kinatoa nafasi ya majadiliano kati ya mlalamikaji na mtuhumiwa wayamalize kabla kesi kuhamishwa mahakamani
kilichopo kama ulivyosema afya ya aliejeruhiwa itengemae then waongee wakubaliane then wayamalize hapo polisi bila kufika mahakamani jambo ambalo linawezekana kulingana na namna tukio lenyewe lilivyo ikiwa aliejeruhiwa atakubali yaishe